Alhamisi, 3 Julai 2014

KUREFUSHA NYWELE



Assallam alykum ndugu zangu tuzidI kumshukuru Allah kwa kutuwezesha kukutana tena katika sefu yetu hii.
Hivi leo tutaona namna ya kukuza nywele zilizo kua ndogo ama zilizo isha na kubaki na kipara
sababu hua ni nying sana baadhi ikiwa ni stress kuridhi katika familia  na magonjwa ya ngozi

DAWA YA KUREFUSHA NYWELE:

Chukua hulba. ( uwatu)

Ujazo wa 100 gr

Kisha chemsha pamoja na maji ujazo wa ml 1500

Yachemke halafu yapoe.kisha oshea nywele wakati maji bado ya vuguvugu.
Halafu zifunge nywele kwa dk 30
Kisha suuza kwa maji ya kawaida na kupaka mafuta ya zaytuni.
Hata kama nywele zako kipili pili in shaa Allah zitarefuka.

Ili kuondoa mba
TUMIA

Sanamaki uchanganye na hina
Kisha chemsha na uoshee nywele
Mba watapotea kabisaaaaa.

0 maoni:

Chapisha Maoni