Jumatano, 19 Oktoba 2016

KINGA YA MWILI KUPITIA VIDOLE



MWILI UNAKINGA ZA ASILI AMBAZO HUSAIDIA MWILI KUKUAMBIA KUA KUNA KITU KATIKA MWILI WAKO HAKIPO SAWA MFANO KUPIGA CHAFYA AU KUKOHOA ILI KUJIKINGA NA KITU KIBAYA KILICHO INGIA KWENYE MFUMO WA HEWA,

tibazakissuna.blogspot.com

HIVYO HIVYO KWA WENYE ELIMU WANAJUA HALI YA AFYA YAKO KWA KUKUANGALIA VIDOLE VYAKO MAANA VIDOLE HUTOA ISHARA KAMA VILE MWILI UNAVYO PATA HOMA AU MATEZI HUKUAMBIA KUA UNA GONJWA LINALO KUSUMBUA NA MWILI UNAKABILIANA NALO KWA KINGA ZA ASILI

tibazakissuna.blogspot.com

HIVYO ALAMA NYEUPE AMBAYO HUA KAMA MWENZI KWENYE VIDOLE VYAKO INA TAFSIRI HALI YA AFYA YAKO KAMA IPO SAWA AU KINGA YAKO YA MWILI IMESHUKA
MFANO WA MTU AMBAE VIDOLE VYAKE VYOTE VINA ALAMA NYEUPE KAMA YA MWENZI INA ONYESHA MTU HUYU ANA AFYA NZURI ANA NGUVU NA KINGA YA MWILI IPO JUU HIVYO UKUBWA WA ALAMA NYEUPE KWENYE KIDOLE CHAKO NDO UKUBWA WA KINGA YAKO YA MWILI JAPO IKIWAA KUBWA SANA KWA KIDOLE GUMBA HUSEMA UNA KIWANGO KIKUBWA CHA DAMU AU MOYO WAKO UNAFANYA KAZ SANA

tibazakissuna.blogspot.com

KWA YULE MWENYE WEUPE KWENYE KIDOLE GUMBA TU INA ONYESHA KUA  ANAHITAJIKA KUPANDISHA AFYA YAKE VINGINEVYO UGONJWA UTAMUINGIA KIRAHISI HIVYO KINGA YAKE YA MWILI HAIJITOSHELEZI 

KWA WALE WENYE ALAMA NYEUPE KIDOGO DOGO KWENYE VIDOLE HUASHIRIA KUA HANA DAMU KWA KIWANGO IPASAVYO HIVYO MARA NYINGI MIGUU YAO UTAIONA NI YA BARIDI

KWA WALE AMBAO HAWANA KABISA ALAMA HIYO HAISEMI NI WAGONJWA LAA MAANA KUJUA MTU NI MGONJWA NI MPAKA UFANYE VIPIMO ILA INA ASHIRIA KUA ANAWEZA PATA GONJWA NA HALITATOKA KIRAHISI YAAN ANAWEZA UGUA KWA MUDA MREFU

tibazakissuna.blogspot.com

RANGI ZA VIDOLE 

NYEUPE huonyesha ana afya nzur na kinga yake ipo juu

KIJIVU  nguvu ya mwili ni ndogo, ugonjwa wa kuchoka, upungufu wa damu matatizo ya mmengenyo

PINKI  mfumo wa viungo vya ndan hasa mapafu na moyo kutofanya kazi ipasavyo na mtu huyu hupoteza nguvu na inaweza sababisha kisukari au magonjwa mengine

ZAMBARAU ina ashiria mzunguko mdogo wa damu ambapo huweza pelekea kichwa kuuma au kupata kizunguzungu 

NYEUSI ina ashiria mfumo mbaya sana tatizo hasaa la moyo huenda imesababishwa na unywaji wa dawa ambazo zimeleta sumu ya mwili

nafkiri kwa leo haya yanatosha kumbuka ukiona hali tajwa hapo juu kupata uhakika ni kwa kufanya vipimo sio kustuka ila ukitaka kuamin jambo hili angalia watu wakiumwa alama hii hupotea ila wakianza kupona hali ya weupe hurudi 

tibazakissuna.blogspot.com

jambo hili haliingiliani na watoto wachanga au walio katika hali ya kukua hivyo usishtushwe NA JAMBO BORA ZAIDI NI KWENYE VIDOLE UPATE WEUPE KWENYE VIDOLE 8 AU 10 KABISA HAPO UTAKUA UPO VIZURI

0 maoni:

Chapisha Maoni