Jumamosi, 27 Septemba 2014

MAJINI AINA YA SWAARIU


MAJINI AINA YA SWAARIU 


Majini wa Swaariu pindi wakishirikiana na wachawi basi huweza kukusababishia uchawi aina ya NAAFITH ambao umetajwa katika
QURAN > "JILINDE KUTOKANA NA UCHAWI UNAPO PULIZA KATIKA MAFUNDO YALIYO FUNGWA"

Uchawi huo wa NAAFITH unapoletwa mwilini huchokuliwa miti ya hanjari na fayja kisha huchanganywa na mafuta ya mtoto aliekufa wanaweka kwenye QABBU ambayo ni mfano wachupa ndogo huku wakisema maneno yao yakichawi,kisha inakwenda kwa mfano wa upepo na kumvaa muhusika na mtu huanza kuumwa.na uchawi huo wa majini aina ya SWAARIU hua unatulia katika moyo na kuleta presha ya kupanda na kushuka na ukipima hospitalini huoni ugonjwa.

TIBA YAKE:

Majini hawa ili uwatoe kwanza mgonjwa asomewe RUQYAT,

DAWA ZA KULA

>  KAMUUN AS-WAD

>  SUFA

>  MJAAFAR

Dawa hizo utachanganya kwa ujazo sawa na kisha awe ananywea kwenye uji siku 19.

Pia apate MAFUTA ya

>  ZAITUNI 

>  NDIMU 

>  NYONYO

Achanganye mafuta yote kwa ujazo sawa na apake kwa siku 19


0 maoni:

Chapisha Maoni