Jumanne, 2 Septemba 2014

UVIMBE WA KWENYE KIZAZI NA TUMBONI





UVIMBE TUMBONI NA KWENYE KIZAZI:

Uvimbe wa Tumboni au kwenye kizazi (Uterine Fibroid/leiomyoma) ni uvimbe ambao hujipandikiza kwenye misuli ya kuta za uzazi na ni moja katika matatizo sugu yanayo wakabili sana wanawake hapo mwanzo ilisemekana kua wanawake wenye umri kuanzia miaka 30 na kuendelea ndio hupata ila kwa hivi sasa ni tofauti. 

© tibazakissuna.blogspot.com
 
DALILI ZA UGONJWA

>> KUPATA HEDHI NZITO AMBAYAO HUPELEKEA KUPOTEZA DAMU AU KUSABABISHA MAUMIVU YA HEDHI

>>> MAUMIVU WAKATI WA JIMAI

>>>  KUPATA MACHUNUSI

>>> KUJIHISI KUJAA KWENYE MAENEO YA CHINI YA KITOVU

>>> MAUMIVU YA KIUNONI

>>> KUJIHISI KUTAKA KUKOJOA MARA KWA MARA

>>> KUSHINDWA KUPATA UJAUZITO AU KUPOTEZA UJAUZITO

SABABU YA UVIMBE


© tibazakissuna.blogspot.com

Kiukweli mpaka sasa hakuna jibu sahih ya jibu hili ila

KUTOKUBALANCE KWA HOMONI NI SABABU

LAKIN UKINIULIZA MIM MARA NYING WENYE  MATATIZO HAYA NI WENYE DALILI ZA MAJINI


TIBA YAKE

© tibazakissuna.blogspot.com

1) Unga wa Mzizi wa MTOPETOPE nusu kilo

MATUMIZI

Chota ujazo wa Kijiko kikubwa weka katika kikombe kimoja cha uji usio na sukar wala chumvi
Tumia asubuhi na jioni ndani ya siku 11 mpaka 14 kisha nenda kapime utaona umepona

 ILANI

© tibazakissuna.blogspot.com

Mastafeli inatofautiana na Mtopetope japo matunda yake yanafanana hivyo tafuta miziz ya Mtopetope sio mastafeli

KUJUA NAMNA YA KUTIBIWA KWANZA LAZIMA UJUE UGONJWA UMEKUPATA KWA SABABU ZIPI NDIO IWE RAHISI KUTOA TATIZO NA UWEZE KUPATA UJAUZITO AU KUONDOKEWA NA UGONJWA HUO.


KWA MAWASILIANO ZAID



+255 784 638 989

+255 713 826 838


4 maoni:

  1. Asalaam alaykum Asante kwa Dawa zako Sheikh wangu Allah akubariki ameen.

    JibuFuta
  2. Assalaam Aleikum ningependa kuomba tiba kwa mtu aliyejichua (masturbation) kwa muda mrefu.
    Shukrani za dhati natanguliza

    JibuFuta
  3. W.salaam shukrani ndugu yangu Mzizi mkavu

    JibuFuta
  4. Moussa chucha Kikubwa jitahidi kuacha hiyo tabia kwan mwili hua na tabia ya kujirudisha hali yake ya kawaida Funga swaumu ndani ya mwenzi mzima kama Mtume Muhhamad (s.a.w) alivyo agiza utapona ndo maana mtindo huu upo hata kwa wazungu unaitwa Rehab mwenzi mzima hivyo funga mwenzi mzima kuondoa tabia hiyo kuhusu tiba nitafute kama imekufa nguvu kabisa

    JibuFuta