Jumamosi, 6 Septemba 2014

KITAMBI ( BELLY FAT )



 UNENE  ni hali ya mwili kuongezeka kupita kiwango cha kawaida hii hutokana na sababu mbali mbali zikiwamo

tibazakissuna.blogspot.com

1) KURIDHI KUTOKA KWENYE FAMILIA (genetic influence).

2)  KULA ZAIDI YA KIWANGO  >  kula chakula kwa wingi na kua na utendaji mdogo yaani kutokufanya mazoezi au kuushughulisha mwili ili uchome mafuta kwa kiwango sawa sawa na kiwango kile ulicho kula

tibazakissuna.blogspot.com

3)  MATATIZO YA KIAFYA > ni kama kiungo kiitwacho thyroid kutokutoa homoni kwa kiwango kinacho itajika (hypothyroidism)

4) MADAWA >  kuna baadhi ya madawa ambayo hupunguza kasi ya uchomaji wa mafuta ndani ya mwili au hukuongezea hamu ya kula saana  (corticosteroids, antidepressants,seizure medicines)

tibazakissuna.blogspot.com

MADHARA YA KITAMBI:

1)  TOXINS LIVER  ini kuhifadhi sumu na kushindwa kutoa insulin ambayo hupelekea maradhi ya

2 KISUKARI ambayo hufanya mwili kukosa nguvu ya kukabiliana na magonjwa yanayo ushambulia mwili ikiwa ni pamoja na

 3) KUKOSA NGUVU ZA KIUME ukiwa na tatizo hili unaweza kushindwa kumuingilia mkeo kabisa au kuenda safar moja tu

4) LACK OF MENSTRUAL AND OVULATION kwa utafiti ulio wahi fanyika unaonyesha kwamba wanawake wenye vitambi hupata tabu kupata ujauzito kwa sababu wanazalisha homoni ya androgen ambayo huzuia mwanamke kupata siku zake pia hufanya mzunguko wa mwanamke kusumbua na pia siku za kupata ujauzito (ovulation) kukosekana

5) SIJUI KWANIN MWANAUME AKIPUNGUA KITAMBI NA UUME UNA ONGEZEKA JAPO INCHI MOJA AU ZAIDI

tibazakissuna.blogspot.com

6) CARDIO VASCULAR DISEASE - ni magonjwa ya mzunguko wa damu ikihusisha moyo na mishipa yake ambapo mtu huweza kupata maradhi ya pressure kutokana na Cholesterol kuziba mishipa na kusababisha mtu kupata madhara yakiwemo Stroke

TIBA YA MARADHI

KWANZA LAZIMA TUKUBALIANE TUACHE UVIVU LAZIMA UFANYE MAZOEZI AMBAYO YANA LENGA KUCHOMA MAFUTA YA SEHEMU HUSIKA SIO UFANYE MAZOEZ YA MGUU UTEGEMEE KUONA MABADILIKO TUMBONI

KISHA TUMIA MCHANGANYIKO UFUATAO

TIBAZAKISSUNA.BLOGSPOT.COM

UKATE VIPANDE VYA LIMAO
UKATE VIPANDE VYA TANGO
SAGASAGA UPATE TANGAWIZI
MAJANI YA NANAA 10 
SIKI YA APPLE  (ACV)
MAJI LITA MOJA

MATUMIZ NA NAMNA YA KUANDAA NITAFUTE BAADA YA SIKU 4 UTANIAMBIA HABARI YAKE.

1 maoni:

  1. ahsante kw somo, swali langu hivi hivyo vijiko vitano vya chumvi je ni saizi ya kijiko cha chakula au cha chai?

    JibuFuta