Jumamosi, 2 Aprili 2016

UMUHIMU WA DUA NYUMBANI





Assalaam alaykum Ndugu zangu kwa kweli kuna mambo yanaweza kutokea na usiamini kibinaadam Kuna nyumba ilikuwa na shida na watu wake kulala usingizi wa MARUERUE NA MAUZAUZA ( usingizi usio na amani ).

sasa mwenye nyumba akaniomba nikamfanyie dua nyumbani kwake Jana usiku nilikwenda kwake mida yaa SAA NNE USIKU. 

Baada ya kufanya DUA na kutumia BUGHULI KALI  kuna Mtoto akaanza kupata kichefuchefu, tukampa dawa ya SWIHAT SHIFAA , 

yule Mtoto akatapika TANDU MZIMA lakini hana miguu. 

Hii ni kuonyesha ni umuhimu gan upo kwenye kufanya DUA haswa kwa familia zetu ikiwa unaona shari inakuzunguka kutokana na hasadi za kibinaadamu

Sikuweza kupata video kwa sababu halikuwa jambo la kutarajia kama kitatokea kitu gani 
Ila hizi ni picha za tandu na Mtoto aliye tapika hatumuweki picha ya USONI sababu mzazi wake ni mtu maarufu kiasi

Hakupenda mwanae aonekane sura Ila ni jambo lililo staajabisha sana 

 +255 784 638 989
الشيخ ءيل
 
 

0 maoni:

Chapisha Maoni