Ijumaa, 30 Juni 2017

UKE KUTOA SAUTI




UKE KUTOA SAUTI

Kwa mwanamke ambae ameshawah kukutana na jambo hili zaid ya mara moja basi anajua ni fedhea kiasi gan hua anapata na kukosa hamu kabisa ya kuendelea na jimai 

SASA TATIZO SIO KUSKIKA KWA SAUT HUYO ILA NI MUME KUTO KUJUA NI NN HALI HIYO JE NI UGONJWA TATIZO AU NI JAMBO LA KAWAIDA AKISHA JUA HILI HATA WEZA KUMCHEKA MWANAMKE NA KUMUONA WA AJABU KIMAUMBILE

© tibazakissuna.blogspot.com 

KWANINI UKE HUTOA SAUTI 

Umbo la uke lipo katika hali ya mikunjo mikunjo kitaalam huitwa VAGINA RUGAE ambapo mikunjo hiyo ipo kama mikunjo ya bati sasa pindi inapo ingia hewa huiminya na kutoa nje ndo maana kuna mikao ukikaa hufanya uke kufinya hewa ile na hewa kutoka kwa kutoa sauti ima kwenye jimai kwenye mazoez au hata ukiwa unafanya usafi

© tibazakissuna.blogspot.com 

 IKIWA IMETOKEA WAKATI WA JIMAI

nilisha sema kua uke na uume hua mfano wa sindano za hospital ( injection ) unapo vuta hutoa fyonza hewa ilio ingia ndan au hufyonza dawa ulio iweka kwenye kichupa kitendo hiki hakina tofaut na uume kuiingia kwenye uke na kutoa 

kuna mikao ambapo hupelekea hewa kuingia na uume unapo toka ima kuingia huiminya hewa hiyo na hapo hutoa mlio 

ukiangalia kwa makini ni kama vile koromeo likipitisha jesi/hewa  hutoa mlio sawa sawa na huo japo huu unauita kucheua na ule una sema ni kama ushuzi lakin sio hivyo ikiwa utatafakari

© tibazakissuna.blogspot.com 

SABABU ZA UKE KUTOA MLIO 

UREFU WA UKE kutoka katika kizaz japo sio wote

UDOGO WA UUME HASWA UPANA (GIRTH) unaweza kua na uume mrefu na bahat mbaya ukawa sio mnene kuweza kushika kuta za uke na upepo kuweza kuingia pindi unapo ingiza

WATU WALIO JIFUNGUA japo sio wote

KUTANUA UKE kupita kias chake haswa katika mikao

© tibazakissuna.blogspot.com 

NINI CHA KUFANYA

ANGALIA MIKAO YA KUFANYA AMBAYO HAITA RUHUSU HEWA KUINGIA NDANI

TUMIA MAJI YA BARIDI KUJISAFISHIA UKE KILA UNAPO MALIZA RAUNDI KATIKA JIMAI AU KUJISAFISHA IMA UKIWA UMETOKA CHOONI AU ASUBUHI

FANYA MAZOEZI YA KEGEL yana faida nying sana na nimeshaelezea sana kwenye group la ilinde ndoa yako

© tibazakissuna.blogspot.com 

9 maoni:

  1. Kutana na mtaalamu wa mitishamba toka tanga anatibu ugumba uzazi nguvu za kiume kukuza uume na kunenepesha uume kukuza hips shape na makalio. .kubana uke. .kuondoa vitambi. Kuondoa harufu mbaya na maji ukeni. .matatizo ya hedhi. .mpigie dr kanyas kupitia 0744903557 tanga

    JibuFuta
  2. Mimi nauliza hilo zoezi la kegel
    unalifanya aje

    JibuFuta
    Majibu
    1. Muda wowote ukiwa umekaa au wakati wa kukojoa mwanamke abane na kuachia mkojo asikojoe mfululizo,namda wowote akiwa amekaa awe anabana uke hta kwakuhesabu moja mpk kumi anaachiaa

      Futa
  3. Sasa kama bado u mwari hujawah kuolewa wala hushiriki mambo ya jimai af tatizo hilo unalo shida inakua nn

    JibuFuta
  4. Mimi sijazaa ila hicho kitu kinanitokea Sana ukweli amani nakoswa

    JibuFuta
  5. Mm sikuwa natatizo apokabla lakinitokanimejifunguwa nimepatwa natatizoilo nifanyeje mpakaniwesawa nakerekwa kweli

    JibuFuta