Ijumaa, 28 Julai 2017

KUKOSA USINGIZI



KUKOSA USINGIZI

Kukosa usingizi ni tatizo ambalo weng wetu tumewah lipitia mara moja moja katika maisha yetu 
lakin kuna ambao hili ni tatizo amblo kwao limeweka makazi ya kudumu na kua ni ugonjwa

© tibazakissuna.blogspot.com 

 mtu mzima pumziko la usingizi ina kadiriwa kua masaa nane au saba kutegemeana na hali ya mtu
dalili zake mara nying hua kuumwa na kichwa mara kuangusha au kuvunja vitu kwa kukosa umakini kwa sababu ya ubongo kuchoka 

SABABU ZA KUKOSA USINGIZI

KIAFYA

kuna baadhi ya madawa ukiyatumia yanasababisha hali ya kukosa usingizi mfano wake ni kama dawa za PUMU, Dawa za  Allergy, maumivu ya uti wa mgongo,  Dawa za Kusisimua misuli,  Dawa za msongo wa mawazo, Dawa za pressure

Kuna aina nyingine ambazo pia huleta tatizo hili ambapo ukitumia unapoteza usingizi 
KUNYWA KAHAWA, KUNYWA POMBE, UVUTAJ SIGARA UNENE HASWA KUA NA KITAMBI

© tibazakissuna.blogspot.com 

Kula sana wakat wa usiku kunapelekea  tumbo kufanya mmengenyo sana na kukukosesha usingiz haswa ulaji wa vitu vigumu kusagika mfano wa nyama

© tibazakissuna.blogspot.com 

MATATIZO YA KISAIKOLOJIA 

hofu juu ya mambo ya kaz au mahusiano na mengine hupelekea kukosa usingizi
mambo madogo madogo kama vile mwanga wa taa au mtaa wenye fujo kama mbwa disco na mengine

TIBA YA TATIZO

chukua maziwa na asali

changanya chemsha Maziwa fresh kikombe kimoja kisha changanya  Asali vijiko viwili kwenye kikombe kimoja tumia na ulale baada ya dakika 20

Tumia biringanya katika kila mlo wako

© tibazakissuna.blogspot.com 

kwa mwanaume alie oa bas ajitahid kufanya jimai maana baada ya jimai na mkeo kuna kemikal za usingizi hutoka ndo maana weng wakimaliza jimai hupata usingizi

© tibazakissuna.blogspot.com 

0 maoni:

Chapisha Maoni