Jumatano, 11 Februari 2015

UNAJUA NINI KUHUSU ZABIBU?


ZABIBU
Zabibu ni miongoni mwa matunda muhimu sana, japo kuwa wengi wetu huona kama tunda hilo linafaa watu wenye kujiona, au tunda ambalo halina maana.
Mtume (s.a.w) anasema kuwa,
    
Nabii Nuhu as aliamrishwa na Allah kulima zabibu sababu humfanya mtu mwenye kula awe na SUBIRA na HUPUNGUZA PUPA NA JAZBA

pia zabibu ina faida iwe mbichi au imewiva.
na baadhi ya walioendelea hutumia kukamua mafuta ya zabibu na kupikia ili kuondosha homa isiyo na sababu, na ni mafuta yenye bei ghali na hayapatikani nchi masikini.

© tibazakissuna.blogspot.com

FAIDA ZA ZABIBU

1) inaongeza hamu ya kula,

2) inarejesha na kuongeza kumbukumbu na akili,

3) huondoa  maradhi ya tumbo,

4) husaidia mmeng'enyo wa chakula, 

5) hutibu mapafu, 

6) hukata harufu kwa wale wenye kutokwa maji yenye kunuka, 
 
7) hulainisha choo, 

8) hutibu polica,

9) nyongo, hupunguza acid, 

10) huongeza  cd4, 
 
11) hutibu ini, 

12) huondoa uvimbe utokanao na homa, 

hii ni sehemu chache sana ya yale yapatikanayo katika zabibu.
ila haya hupati kama si kumpenda Mtume Muhammad saw
© tibazakissuna.blogspot.com

1 maoni: