Jumatano, 27 Agosti 2014

MAJINI ZAWAABIL





Majini aina ya zawaabil.
 

Ni aina ya majini ambao husababisha aina ya uchawi uitwao Hiriki.
Ule uchawi ambao mtu huvuka ngozi na kutaka kuwa kama albino kwa kuanzia midomoni.
 

Pia akiwa ni jini mahaba aina ya zawaabil
 

Basi utakuwa na maradh ya muwasho sirini
 

Kuchubuka wakati wa jimai.
 

Mwili kuwa na mipere.
 

Uso kupoteza nuru kama mwenye nuks.
 

Pia mwanamke hutoa maji mengi ukeni.
 

Dawa
 

Kisomo cha KHAWAATIM
 

Na kupaka MRUTURUTU , MAFUTA YA ZAITUNI
Pamoja na MAFUTA YA FIGIRI.
 

Za kula ni SHOMA KHIMSW na BAKAR HADI

1 maoni:

  1. Asalaam alaykum Sheikh rajabu hali yako? unaweza kuniwekea picha ya dawa ya Mruturutu? nitashukuru ukifanya hivyo asante.

    JibuFuta