Jumatano, 20 Agosti 2014

MICHIRIZI KATIKA MWILI



   Michirizi katika ngozi imekua tatizo kwa Watu Wanene na kwa Wanawake mara baada ya kujifungua., Kuna sababu nyingi zinazo sababisha michirizi katika ngozi kama

(1)  Mabadiliko ya homon katika mwili 

(2) Kupungua kwa mwili haswa baada ya ngozi kutanuka kutokana na unene (kitambi) au ujauzito.

MATIBABU YAKE

Nunua ROSE MARASHI ya ENGLAND sio ya INDIA  kisha pakaa sehemu zenye michirizi kila unapooga na usipake mafuta mengine 

Tumia utomvu wa Aloe Vera kujipaka sehemu zenye michirizi na utaosha baada ya masaa mawili kupita

Paka mafuta ya Zaituni kwenye Michirizi

0 maoni:

Chapisha Maoni