Jumatano, 25 Machi 2015

MUHOGO



MUHOGO ni aina ya chakula chenye asili ya mzizi.

Na ni katika vyakula vya wanga na wingi wa VITAMIN A.
Pamoja na kudharauliwa kwa mlo huu wa muhogoleo ntakufungulia habar za chakula hiki japo kwa uchache leo

HUSAIDIA

  • kurudisha number of sperms (WINGI WA MANII) 
  •  © tibazakissuna.blogspot.com
  • sperm motility( MANII KUA NA NGUVU YA KUSAFIRI HARAKA KWA WEPESI ). Kwani kuna wengi hufanya tendo la ndoa na kukosa au hushusha mbegu kwa shida. 
  •  Mwanamke mwenye UKAVU UKENI juis hii itamsaidia sana kurudisha unyevu wenye ladha katika jamai.
  • © tibazakissuna.blogspot.com
Lakini ulaji wa muhogo mbichi kwa NAZI MBATATA huzalisha sperm kwa wingi.
Pia waweza kutumia juis ya MUHOGO NUSU LITA NA ASALI UJAZO WA KIKOMBE CHA KAHAWA kurudisha wingi wa manii

© tibazakissuna.blogspot.com

0 maoni:

Chapisha Maoni