Jumapili, 22 Machi 2015

TANGO ( CUCUMBER )




TANGO  (CUCUMBER)

tunda hili ni miongoni mwa matunda muhimu sana,lakini MTUME (S.A.W) kasema lisiwe pamoja na chakula, 
yaani kwa mfumo kama kachumbari,bali liliwe bila chakula.

FAIDA YA TANGO

ulaji wa tango kila siku ni sababu tosha ya kuepukwa na maradhi mengi sababu,

HUTIBU MARADHI YAFUATAYO

 © tibazakissuna.blogspot.com

1 U T I, na kusafisha MAPAFU na KIBOFU CHA MKOJO

2) HUSAFISHA MCHAFUKO WA DAMU

3) HUSAIDIA MMENGENYO WA CHAKULA

4) HUONDOA MUWASHO WA MWILI NA FANGASI

 © tibazakissuna.blogspot.com
 
5) HUTIBU HOMA YA MANJANO

6) HUSAFISHA FIGO KWA KUA MAJI MAJI HAYO HUONDOA MAWE YALIYOKO KWENYE FIGO

7) HUONDOA UVIMBE

8) HUTIBU VIPELE VYA JOTO,

9) HUTIBU MATATIZO YA MIFUPA NA JOINT ZA MIFUPA KWAKUA INA URIC ACID 

 © tibazakissuna.blogspot.com

 10) HIVYO HUTIBU MAUMIVU YA JOINT NA MIFUPA



11) HUTENGENEZA NGOZI NA KUINGARISHA (magnesium,pottasium na silcon)

12) HUSAIDIA  KUONDOA MAUMIVU KWA MWENYE HERNIA

13) HUKUZA NYWELE KWAKUA TUNDA HILI LINA SILCON NASULPHUR HIVYO 

14) HUPELEKEA NYWELE KUOTA KAMA UTACHANGANYA NA KAROTI 

15) KINGA DHIDI YA SARATANI KWANI SELI ZA SARATANI HAZIWEZ SHAMBULIA SEHEMU ILIYO NA ALKALINE (UCHACHU) AMBAPO TANGO HUA NA ALKALINE KWA WINGI


16) HUONDOA UVIMBE IWAPO UTACHANGANYA NA KUNGU MANGA NA MAZIWA YA NGOMBE
 
ulaji wa matango MATATU kwa siku MAABARA TOSHA.
 

yaliyomo ndani ya tango
 

vitamin c,
vitamin A,
maji 93%, 
sukari 6%, 
vitamin p.p, protin,nk
 

tango ni katika matunda yenye wingi wa madini mbalimbali.
kula matango matatu kwa siku ili uokoe gharama ya kupatwa homahoma bila sababu ya msingi.



0 maoni:

Chapisha Maoni