Ijumaa, 27 Mei 2016

KISUKARI ( diabetes mellitus )


KISUKARI ( diabetes mellitus )

Pindi mwanadamu anapokula chakula huvunjwa vunjwa na moja ya matokeo ni mwili kupata SUKARI (GLUCOSE) ambayo kazi yake ni kuzipa nishati chembe za mwili (ubongo,misuli chembe chembe damu nyekundu ) 

tibazakissuna.blogspot.com

sasa kongosho (pancreas) kwenye chembe ya beta cell huzalisha homon inaitwa INSULIN ambayo hii kaz yake ni unapo kula kiwango cha sukar huweza kupanda na kongosho hutoa kiashirio kwa beta cell kutoa insulin katika mfumo wa damu na kuzi taarifu chembe kunyonya sukar hitajiyo ili itumike kama nguvu.

KUNA AINA MBILI ZA KISUKARI

tibazakissuna.blogspot.com

KISUKARI AINA YA KWANZA husababishwa na kutokuwepo kwa insulin kwa sababu beta cell  zime athirika au hazifanyi kazi ipasavyo

KISUKARI YA AINA YA PILI watu wa aina hii ni kwamba kongosho yao haizalishi kiwango kidhi cha kuweza kudhibit wingi kiwango cha sukari kwenye damu  (hyperglycaemia) au ni upungufu wa uwezo wa mwili wa kukubali insulini.

DALILI ZA KISUKARI

 A) kukojoa mara kwa mara kupita kiasi cha kawaida hasa usiku

B) kusikia kiu sana

C) kujiskia kuchoka hasaa

D) kuwashwa sana sehemu za uume au ukeni

E) kupoteza uzitowa mwili kwa muda mfupi

F) kuchelewa sana kupona vidonda au mikato ima michubuko

G) kuto kuona vyema

H) kupoteza au kuto kusimamisha vyema uume na kwa mwanamke pia kukosa ham ya tendo


tibazakissuna.blogspot.com

USHAURI

kisukari aina ya pili ukianza kuona dalili na kuwa mwenye kufanya mazoez ni rahisi kujitibu
fanya mazoez na punguza vyakula vyeupe, chips, vitu vitam,pombe,nyama nyekundu  na kula mboga za majan kwa  wingi kula taratibu ungate vyakula ipasavyo kama MTUME MUHAMMAD rehema na aman ziwe juu yake ANAVYO SHAURI ule ukiwa na njaa na usile ukashiba.

tibazakissuna.blogspot.com

TIBA

vijiko viwili vya unga wa mdalasin
kijiko kimoja cha unga wa uwatu 
kijiko kimoja cha unga wa habat sauda

changanya kwenye kikombe kimoja cha maji ya moto 
kunywa mara mbili kwa siku ndan ya masiku 21

kwa tiba zaidi tuwasiliane


0 maoni:

Chapisha Maoni