Jumatano, 4 Mei 2016

KUTOKWA NA MAZIWA BILA KUTEGEMEWA ( GALACTORRHEA)




KUTOA MAZIWA KWENYE CHUCHU BILA KUTEGEMEWA


hali hii huwachanganya sana wasichana haswa pale ambapo atapima na kujikuta hana ujauzito wala hana historia ya kunyonyesha
tatizo hili mara nying hua lina tokana na homoni (prolactin) ima madawa

SABABU YA TATIZO 

MADAWA :: mfano wa madawa ambayo hufanya proclain iwe juu ni uwatu,madawa ya pressure madawa ya kuzuia mimba n.k

tibazakissuna.blogspot.com

KUVIMBA KWA PITUITARY pituitary ni sehemu katika ubongo ambapo husaidia kuweka uwiano sawa wa homon nying hivyo kupata kwake hitilafu hufanya homon kuzid na kuletea mabadiliko hasi katika mwili

KUCHEZEWA AU KUNYONYWA KWA CHUCHU hali ya kujichezea,kuchezewa,kunyonywa chuchu kwa muda mrefu hufanya proclain kuongezeka na kukufanya utoe maziwa kama vile unavyotafuna meno au bablish na hukupelekea kupata njaa kwa wepes .

KUUMIA KWA SEHEMU YA ZIWA AU KUUMIA KWENYE SEHEMU ZA UTI WA MGONGO

MAGONJWA SUGU YA FIGO figo husafisha damu hivyo kama proclain yako ipo juu tunaamin damu ikisafishwa vizur na figo hali ya mwanamke kutoa maziwa itakua chini hivyo kuathirika kwa figo kunapelekea mwili kusambaza proclain mwilin na kufanya utokaji wa maziwa bila kutegemea

UGONJWA WA UVIMBE KWENYE ZIWA ( Intraductal papilloma ) hii ni hali ya kupata uvimbe kwenye ziwa ambapo hupelekea hali ya utokwaji wa maziwa ila ikumbukwe kwamba uvimbe huu wa kwenye ziwa sio uvimbe wa kansa (benign)

TIBA YAKE

tibazakissuna.blogspot.com


chukua vitunguu thaum na vitunguu maji
halafu unga wake weka katika asali

kisha weka mafuta ya zaytun na mafuta ya habat sauda
baada ya mchanganyo huo
mgonjwa anywe kijiko kimoja asubuhi kabla ya kula na usiku baada ya kula
siku saba mfuatano

itazuia kutokwa maziwa

pia itazuia yasiendee kukua

lakini haita weza kufanya yanywee.
tibazakissuna.blogspot.com


1 maoni:

  1. Dr kanyas mtaalamu wa tiba asili anazo dawa za UGUMBA na za nguvu za kiume na za kurefusha uume ..mtafute kupitia namba 0764839091

    JibuFuta