Jumatano, 11 Mei 2016

MAUMIVU YA HEDHI (dysmenorrhea)

 

KILA mwenzi kizazi hutengeneza mfano wa ukuta ( lining ) ikiwa ni maandalizi ya mimba ikiwa mbegu ya kiume itakutana na yai, Hivyo kama hakuna mbegu ilio kutana na yai kinacho jiri ni ukuta huo hutanuka na mwisho wa siku huvunjika na kutoka kama moja ya damu ya hedhi
hivyo ukuta huo unapo vunjika prostaglandins hutoka pindi homoni hii inapo toka kizazi hujiminya kama reaction kwa kutoka kwa homoni iyo
 hivyo inaaminika kua homoni hio hua chanzo cha maumivu ya hedhi

 https://www.tibazakissuna.blogspot.com

na maumivu huzidia pindi mabonge ya damu yanapotoka na kugusa mdomo wa kizazi ambao bado haujatanuka na kupelekea maumivukua makali
hivyo ukiuliza kwanin wengi wa walio jifungua hawana maumivu utakua umepata jibu hapo juu

HIVYO

MAUMIVU ya Tumbo wakati wa hedhi (menstrual pains) au kitaalamu dismenorrhea, ni maumivu yanayojitokeza sehemu ya chini ya kitovu au kiunoni kabla au baada yakupata siku.
  
https://www.tibazakissuna.blogspot.com

KUNA AINA MBILI YA MAUMIVU

AINA YA KWANZA (Primary dysmenorrhea) maumivu yake hua ni chini ya kitovu na nyuma kwenye mgongona sababu yake kitaalamu haijulikani

AINA YA PILI (Secondary dysmenorrhea) ni husababishwa na magonjwa yanayo julikana na kupelekea chanzo cha maumivu mfano wa magonjwa hayo  ni uvimbe wa kizazi,magonjwa kama pid na endometriosis 

 https://www.tibazakissuna.blogspot.com
 

 USHAURI UNAO WEZA SAIDIA

ogea na jikande na maji ya moto

Punguza mawazo na penda mazoez

kula chocolate

kunywa maji ya uvuguvugu kwa wingi

TIBA 

 https://www.tibazakissuna.blogspot.com

NUNUA DAWA INAITWA KALKARIYAT 
CHEMSHA NA KUNYWA KIKOMBE KIMOJA KUTWA MARA MBILI SIKU MBILI

1 maoni:

  1. Dr kanyas mtaalamu wa tiba asili anazo dawa kwa ajili ya nguvu za kiume ..ugumba....maumivu makali makali wakat wa hedhi...pia anazo dawa za kurefusha na kunenepesha uume mtafute kupitia 0764839091..dawa zake ni za kisuna na asili

    JibuFuta