Alhamisi, 22 Januari 2015

TIBA YA MTU MWENYE KUTEMBEWA NA VITU MWILINI



Maradhi haya ya kuwa unakaa na kuhisi vitu vinatembea mwilini kisha ukahisi wadudu mfano wa nyenyere, huwa ni miongoni aina ya uchawi na katika uchawi wenye kusumbua sana.
watu wanadhurika na uchawi huu ambapo mwisho wake kukufanya uwe mwenye kukosa kumbukumbu pamoja na mwili kufa ganzi.
kutibu kwake

TIBA YAKE

© tibazakissuna.blogspot.com
TAFUTA 

  • MAFUTA YA  NYANGUMI
  • MAFUTA YA FIGIRI
kisha changanya pamoja,
halafu uwe unapakaa kwa SIKU 11 ASUBUHI NA JIONI
kisomo cha kusomewa ni YAASIN SAAQITW

DAWA YA KULA

MJAAFAR

KAMUN ASWAD

siku 11
© tibazakissuna.blogspot.com

0 maoni:

Chapisha Maoni