Ijumaa, 23 Januari 2015

JEE JINI ANAWEZA KUMPA HELA MWANAADAMU?????


Suala hili limekuwa likisemwa sana na baadhi ya watu,
haswa wale walio wavivu wa kufanya kazi na kupenda maisha ya starehe bila kutumia nguvu na akili zao.
utamsikia anasema kwamba,bora nioe jini nipate hela.
loh wewe hujui usemalo,
sababu ya kukwambia hivyo hujajua kuwa majini wana tawala na maisha yao kivyao kama ilivyo kwa binaadamu,

WAO WANA

 © tibazakissuna.blogspot.com

JESHI,

ASKARI,

MADAKTARI,

MAWAZIRI,

WABUNGE na MADIWANI wao,

kuna WASELA na WAVUTA BANGI.

hivyo wao wana serikali yao na HELA ZAO.
HELA YA JINI haitumiwi na mwanadamu,
kama vile pesa ya Misri haitumiki Malawi, 
wala ya Tanzania haitumiki Marekani.
na majini pesa yao haitumiki kwa wanadamu sababu serikali yao na wanadamu ni tofauti kabisa.

WALE WANAO SEMA WANAPEWA PESA NA MAJINI WANAPATA WAPI ?

pesa ile huwa majini WANAIBA katika MADUKA na BIASHARA  za watu kisha unahongwa,
MAJINI wenye kufanya haya ni wale majini mahaba aina ya GHUULI, wale wenye CHUMA ULETE.
kwani majini hawa hatari ni wezi sana na ndiyo wenye mambo ya kuiba watu na kuwafanya misukule. 
jambo hili halifai kabisa katika uislam 6:128-130 QUR AAN
kama ulikuwa unahongwa basi rudisha pesa ya watu, 
jini hana pesa ya kukupa zaidi ya pesa ya wizi
© tibazakissuna.blogspot.com

8 maoni:

  1. Maoni haya yameondolewa na mwandishi.

    JibuFuta
  2. Maoni haya yameondolewa na mwandishi.

    JibuFuta
  3. Maoni haya yameondolewa na mwandishi.

    JibuFuta
  4. Maoni haya yameondolewa na mwandishi.

    JibuFuta
  5. Maoni haya yameondolewa na mwandishi.

    JibuFuta
  6. NAITWA DR, MDIRO namba 0746223645. KAMA UNAITAJI PESA ZA MAJINI AU NDAGU YA MALI AU UTAJIRI NDANI YA MASAA 72(SIKU TATU) NIPIGIE 0746223645. KIKUBWA NI KUSIKILIZA NA KUFATA MASHARTI. ANGALIZO USITUME SMS PIGA NA UWE NA NIA.(TAFADHALI PIGA SIMU UKIWA NA NIA)

    JibuFuta
  7. DR,MDIRO KAMA WAHITAJI PESA ZA MAJINI,DAWA YA MAPENZI, NDOA, KUMVUTA UMPENDAE, MIGUU KUWAKA MOTO, KULINDA BIASHARA NA DAWA YA MAPENZI, JE UNAMATATIZO, KARIBU KWA KUFATA MASHARTI NA KUTIMIZA UTAFANIKIWA
    (MALIPO YA NDAGU ZA MALI AU MAJINI NI BAADA YA MAFANIKIO)
    (KWANINI USUMBUKE)
    NAITWA DR, MDIRO piga 0742162843. KAMA UNAITAJI PESA ZA MAJINI AU NDAGU YA MALI AU UTAJIRI NDANI YA MASAA 72(SIKU TATU), NDOA, MIKOSI, MABALAA, JINI MAHABA NA SHIDA YA UZAZI. NIPIGIE 0742162843. KIKUBWA NI KUSIKILIZA NA KUFATA MASHARTI. ANGALIZO USITUME SMS PIGA NA UWE NA NIA.

    (kuhusu utajiri au pesa) KABLA YA KUPIGA SIMU ZINGATIA YAFUATAYO
    1. uwe una umri wa miaka 18+
    2. uwe tayari kupokea masharti yote
    3.uwe na uwezo wa kutunza siri
    4. uwe jasiri wa kupokea taarifa yoyote 
    PIGA SIMU KWANZA HUSITUME SMS

    JibuFuta
  8. Utajiri wa nguvu za ujihni na ndagu JE UNAMATATIZO, (KWANINI USUMBUKE) NAITWA DR, MDIRO piga 0742162843. KAMA UNAITAJI PESA ZA MAJINI AU NDAGU YA MALI AU UTAJIRI NDANI YA MASAA 72(SIKU TATU), NDOA, MIKOSI, MABALAA, JINI MAHABA NA SHIDA YA UZAZI. NIPIGIE 0742162843. KIKUBWA NI KUSIKILIZA NA KUFATA MASHARTI. ANGALIZO USITUME SMS PIGA NA UWE NA NIA.

    (kuhusu utajiri au pesa) KABLA YA KUPIGA SIMU ZINGATIA YAFUATAYO
    1. uwe una umri wa miaka 18+
    2. uwe tayari kupokea masharti yote
    3.uwe na uwezo wa kutunza siri
    4. uwe jasiri wa kupokea taarifa yoyote .

    JibuFuta