Alhamisi, 1 Januari 2015

TIBA YA KIHARUSI (STROKE DISEASE)

KIHARUSI (STROKE DISEASE)

ubongo wa mwanadamu huitaji kiwango kizur cha DAMU kuweza kufika kwenye ubongo kwa sabab damu hubeba virutubisho na oxygen inayo tumika kwenye ubongo na ubongo ukikosa oxygen ndan ya dakika 5 cell zake huanza kufa na mwisho mtu kufariki dunia

© tibazakissuna.blogspot.com 

Kiharusi ni maradhi yanayo tokea haswa baada ya mishipa ya damu kushindwa kufikisha damu inayo hitajika katika ubongo 

kuna sabab nying zinazo pelekea damu kushindwa kufika ipasavyo kwenye ubongo nazo ni kupasuka kwa mishipa au mishipa kuziba kutokana na mafuta kuzid kwenye mishipa ya damu

© tibazakissuna.blogspot.com 

piakuna  KIHARUSI ambayo husababishwa na majini aina ya UMMU SUBIANI
Ambayo hii hutoka na mtu KUANGUKA CHOONI japo pia kuanguka bafuni husababishwa na mtu kuwah kuosha kichwa na maji barid inaya sababisha mishipa kusinyaa ghafla na kupelekea kupasuka kwa sabab ya ujazo wa damu inayo pita kwenye mishipa.

DALILI ZA KIHARUSI

© tibazakissuna.blogspot.com 

unaweza mgundua mtu kama ana kiharusi kwa kuangalia dalili zifuatazo

FACE mwangalie usoni kisha muombe atabasamu je UPANDE MMOJA WA USO KAMA UMEANGUKA

ARMS mwambie anyanyue mikono miwili juu je  MKONO MMOJA UMELEGEA AU KASHINDWA KUUNYANYUA

© tibazakissuna.blogspot.com 

SPEECH muuombe arudie sentence utayo sema je ANA MUMUNYA MANENO 
ikiwa ndio bas

TIME usipoteze mda muwahishe hospital haraka iwezekanavyo

kama hospital washindwa kujua tatizo ni nin basi fanya ifuatavyo

© tibazakissuna.blogspot.com 

TIBA

KWANZA pata  kisomo cha harbu l qatwui na sayfu l qatw I

CHANGANYA MAFUTA YA NDIMU NA MAFUTA YA NYANGUMI

CHANGANYA APAKAE KUANZIA KICHWANI KISHA IFATE MWILI MZIMA

kisha dawa ya kunywa ni
  • KAMUN AS WAD
  • HABAT SAUDA za UNGA, 
© tibazakissuna.blogspot.com 

unachanganya kisha unachemsha KIJIKO KIKUBWA halafu unaweka maji Vikombe vikubwa VITATU yachemke mpaka yabaki vikombe 2 kisha unakunywa asubuhi na usiku siku hizo hizo.
tibazakisunna.blogspot.com

0 maoni:

Chapisha Maoni