Jumanne, 28 Julai 2015

JINI 1


Jini ni nini?
 
Ukiongea kuhusu jini basi unaongelea aina za viumbe ambao wameumbwa na Allah.

 Tofauti ya jini na binaadam ni kuwa jini kaumbwa kwa MOTO na binaadam kwa UDONGO. 15:26-28 qur an

© tibazakissuna.blogspot.com 
 

Lengo la kuumbwa ni kumuabudu Allah 51:56 qur an
 
Hivyo katika majini na binaadam wapo wenye kutii na wapo wenye kuasi.
Mwenye kutii katika binaadam na majini huwa muislam na mcha Mungu na Mwenye kuasi hutegemea dini yake ni ipi na kuingia katika makafiri 6:112 Quran

 
Binaadam tumeitwa INSAAN sababu wamaa summiya l insaan Illa binisyaan
Yani hatukuitwa kuwa binaadam isipokuwa ni kwa sababu ya usahaulifu. 


Na Majini wameitwa JAAN kwa sababu ya kuto onekana kwa macho ya kibinaadam ima tuseme wameitwa majini kwa kuto kuwa wazi na kufahamika mbele ya binaadam au kilicho fichwa mbele ya binaadam. 

© tibazakissuna.blogspot.com

Kama vile mtu ambaye akili haipo active akaitwa majnuun sababu akili yake imefichika au pepo kuitwa Jannat kwa kufichika na vivuli.
 
Majini wamegawika aina tofauti 660 kama vile wasemavyo katika suurta l jinn AYA 11 kunna twaraaiqa qidada. 

Kwamba majini wapo aina tofauti na makundi tofauti
tibazakissuna.blogspot.com

0 maoni:

Chapisha Maoni