Jumanne, 28 Julai 2015

JINI 3



JINI NI NINI?

Q:: JEE MAJINI WANA DINI?

jibu ndiyo majini wanayo dini. 

© tibazakissuna.blogspot.com 


Q:: VIPI MAJINI WANADINI

Wana dini kwa sababu wameletwa ili wamuabudu Allah na wasipo abudu wataenda motoni 7:179 Quran
Na kwa hali hiyo majini wanapo kusumbua utajua dalili kuwa ni dini gani kabla ya kujua umtoe vipi. 

© tibazakissuna.blogspot.com 


JINI YAHUDI: utakuwa ukiota watu wamevaa nguo za rangi ya bluu na wewe kupenda sana rangi ya bluu samaawati pamoja na kutopenda kufanya ibada hata kama umesoma uislam.pia kuwa ukilala kuota unapaa juu kuwa mnafiq na muongo na kuto wapenda waislam hata kama wewe ni muislam.

JINI MKRISTO : kupenda nguo za njano. Kulala na kupiga miayo sana unaposali au unapo soma Quran pamoja na kupenda kusikia muziki.

JINI MPAGANI: kupenda sana nguo nyeusi na kupenda ngoma na nyimbo za asili.pia kuota watu wamevaa nguo nyeusi na makaniki.

JINI MUISLAM : kupenda nguo nyeupe au kijani au bluu bahari. Manukato pamoja na kujifanya unapenda ibada lakini huna ufanyalo ki ikhlasw sababu hufanyi kwa ridhaa na ndipo ikisomwa qur an unalia au kutoka machozi bila kujua fasiri ya neno.
© tibazakissuna.blogspot.com 


tibazakissuna.blogspot.com

1 maoni:

  1. Asante shekh abdallah..tunafaidika vya kutosha......baaraka Allahu fiik

    JibuFuta