Alhamisi, 6 Agosti 2015

MAGONJWA YASIYO ONEKANA



KWANINI UGONJWA WAKO HAUONEKANI HOSPITAL KATIKA VIPIMO??

 HUO NDIYO UCHAWI AINA YA NAAFITH 

suurat l falaq

{{ Wamin sharri nnaffaathaat fil uqad  }} 

Umetajwa hivyo katika  Uchawi huu ni uchawi hatari sana.wachawi kwa kutumia miti ya haijal na fayjal huwa wanachanganya na vitu fulani hivii kisha wanaongea maneno yao ya kichawi unatoka kama mvuke wa moshi na kwenda kwa mlengwa anaye kusudiwa kufanyiwa uchawi huo.

 kisha unakamata sana sehemu ya akili na kichwa kuwa kama kina maji au moshi na akili kuwa si yako.mapigo ya moyo kuwa mbio sana na pressure kuwa juu muda wote na kukosa amani. hushuka mpaka katika bandama na kufanya ngozi ipauke ikibidi kuvuka ngozi kama nyoka. 

mwili kuisha na kukonda kama mgonjwa wa sukari na ngozi kuwa imepoteza uhalisia wake.macho yanapauka na kisha hushuka mpaaka kwenye figo. ikifika hapo mtu anaweza kuwa na sukari ya ajabu sana. ndiyo mnamuona mtu ana sukari 27 lakini anakula vitu vyote mpaka Daktar anashangaa hali ya mgonjwa. mtu ana pressure 260/170 na bado anatembea tatizo nini? ni uchawi aina ya Naafith ambao huwa unashikwa na majini aina ya Swaariu. 

na majin hao utajuaje kuwa ndiyo wenye kukudhuru? tembelea tibazakissuna.blogspot.com ukisha wajua basi ujue kuwa ndiyo wenye kubeba uchawi huu mbaya sana duniani.na ndiyo mama ya uchawi wote maana mchawi asiyejua uchawi huo bado hajafuzu mafunzo ya kichawi. 

mtu akisha dhulika kwa ugonjwa huu huwa kila aina ya ugonjwa atakao pima ataonekana anao na akila Dawa haponi wala hapati nafuu na mwishowe huonekana ni muathirika wa UKIMWI

TIBA YAKE 

lazima kupatikana wajuzi na siyo wajanja wa mjini. na wala si kuchukulia simple kuna aina ya visomo vya QASAM yani visomo vya kiapo asomewe mgonjwa. pamoja na dawa za kula na kupakaa 1 ZAYT shifaa 2 SWIHAT shifaa hizi ni dawa tumeziandaa kifundi sana na Alhamdu lillaah mgonjwa akitumia kwa siku 27 hupona bi idhni llaah tibazakissuna.blogspot.com

0 maoni:

Chapisha Maoni