Ijumaa, 14 Agosti 2015

KUTOKWA MAJI MAJI UKENI ( VAGINAL WETNESS )



KUTOKWA MAJI MAJI UKENI ( VAGINAL WETNESS )

Kitu kikubwa katika kufurahia jimai kwa mwanamke na mwanaume ni sehemu ya mwanamke kupata hali ya unyevu nyevu au maji maji  ambayo hupelekea mwanaume na mwanamke kufurahia tendo la ndoa ndio maana MWENYE ELIMU kubwa alisema ni haramu mwanaume kumuingilia mwanamke bila kumuaandaa

Wakati kuna wanawake wenye tatizo la maumbile yao kua makavu wapo ambao maumbile yao hutoa maji maji ( sio squirting ) pindi unapo waandaa  kiasi ambacho hupoteza ladha ya mwanaume kufurahia tendo hilo kwan hakupatikan msuguano ambao hua ni sababu ya mwanaume na mwanamke kushuka stendi kwenye safari yao

sasa jambo hili hua ni jambo la aibu ila aibu itakusaidia nin kama ndoa yako inateketea
Kikubwa ni kupatia ufumbuz wa tatizo husika na kutumia dawa

#SABABU

1} KUTUMIA VIDONGE VYA UZAZI WA MPANGO >.>.>

ESTROGEN ni homoni inayo husika katika kukuza na kufanya usawazishaji wa mwili wa mwanamke pia hutumika kufungua njia ya hedhi ikiwa hedhi haifunguki.

Dawa za uzazi wa mpango husababisha kiwango kikubwa cha estrogen katika njia za damu ambapo INI ambapo huzibadilisha estrogen ambazo sio za asili ( artificial estrogen ) kua za asili ( natural estrogen ) na kufanya estrogen kuwa nyingi katika mwili na kufanya uwepo wa maji mengi katika maumbile

Pia husababisha kutanuka kwa maumbile ya kike ndipo hupelekea habar ya kusafiri kua nzito kwan hakuna kufika stendi kwa raha

® tibazakissuna.blogspot.com

 
sababu nyingine inayo weza kusababisha maji ukeni

® tibazakissuna.blogspot.com

2} kufanya kazi ngumu baada ya kujifungua kabla ya miezi minne pamoja na kuanza jimai mapema kabla ha miezi minne.

3} kuvaa nguo mfano turubai ama suruali za jins na kutembea mwendo mrefu wa miguu

hizi ni miongoni mwa sababu. japo kuwa zipo nyingi ila tosheka na hizo.

® tibazakissuna.blogspot.com

TIBA

chukua ASALI changanya na MDALASINI na MWIFI
kisha kunywa vijiko viwili vikubwa kutwa mara tatu kwa siku 19 pamoja na kutwanga majani ya MBAAZI na kuvaa kam ped kwa  kila mchana wa tiba.

® tibazakissuna.blogspot.com

0 maoni:

Chapisha Maoni