Jumatano, 12 Agosti 2015

CHUNUSI


CHUNUSI

ngozi hua na vitobo/tundu  ndogo ambapo tundu hilo hushuka mpaka kwenye kimfuko kinacho zalisha majimaji yenye mafuta ( oil gland ) ambapo maji hayo hutumika kulainisha ngozi, pia tundu hilo hutumika kusafirisha seli iliyo kufa kuipandisha juu ya ngozi 

pia tundu hilo hutumika kupandisha nywele japo hata unywele utokelezee kwenye ngoz tundu hilo hubakia 

© tibazakissuna.blogspot.com

sasa ikiwa tundu hilo litashambuliwa na bacteria au kitu kuziba hupelekea yale maji maji kuganda na kuwa mafuta pia unywele ndani kukatika kama ni eneo la nywele pia seli seli zilizo kufa hukaa kama uchafu ndo maana unapo uminya hunuka , baada ya muda ngozi kujaa na watu kuiona kama CHUNUSI maeneo ya mgongoni na usoni

© tibazakissuna.blogspot.com

SABABU ZA KUOTA CHUNUSI


hakuna sababu ya kitaalamu ya kusema moja kwa moja kua chunusi husababishwa na nin ila

  •  UMRI WA MIAKA 11 MPAKA 30 kutokana na mabadiliko ya mwili na ongezeko la androgen 
  •  MAJINI MAHABA

DAWA YA MAPELE 


© tibazakissuna.blogspot.com

basi chukua SHUBURI SOKOTARI
kisha yeyusha kwa maji safi.
baada ya kwisha kuoga paka yale maji yenye shubiri katika sehemu zilizo athiriwa na ugonjwa.
kipimo
chukua SHUBIRI SOKOTARI vijiko viwili vikubwa na uweke katika maji lita moja. na iyeyuke vizuri. utatumia kwa siku 9
itakusaidia hata kuondoa athari za maradhi au alama za makovu yaliyokuwepo kutokana na ugonjwa huo.


© tibazakissuna.blogspot.com

2 maoni: