Jumamosi, 18 Julai 2015

KUNYONYESHA ( BREAST FEEDING )




KUNYONYESHA ( BREAST FEEDING )

  Ni hali ya kumlisha maziwa  mtoto mchanga au mdogo kwa kupitia chuchu za mwanamke kwa kunyonya mtoto huweza kupata maziwa mdomoni na kumeza kama chakula ambacho humpa nguvu na afya.

SASA kuna jambo ambalo wengi wetu hulifanya yaan kuwa nyonyesha watoto kupitia maziwa ya vibobo yaliyo andaliwa maalumu kuwalisha watoto () hali hii ime UA watoto weng kwani huleta  HALI YA KUHARISHA kwa watoto wadogo sio  magharibu tu hata huku kwetu

hushauriwa kumnyonyesha mtoto isipite lisaa limoja baada ya kujifungua kisha kuendeleza hali ya kumnyonyesha mtoto ZAIDI ya mwaka mmoja.Suratul al -Baqarah {2:233}

© tibazakissuna.blogspot.com


FAIDA YA KUNYONYESHA KWA MAMA NA MTOTO.

1)  NI CHAKULA CHENYE KUMENGENYEKA UPESI KWA MTOTO AMBAPO HUMPA HAMU YA KULA MARA KWA MARA

2)  NI ULINZI KIAFYA  KWA MTOTO >> Maziwa ya mwanzo anyo toa mzazi hua na PROTEIN nyingi na SUKAR kidogo ambayo humlinda mtoto kutokana na magonjwa mfano kisukari type 1 magonjwa ya utumbo mdogo limonia na homa

3)  HUTIMIZA HISIA ZA MTOTO >> kuna research inayo thibitisha watoto njiti au premature hufa kwa kukosa hali ya kubwebwa na kubembelezwa

4)  HUKUZA AKILI  >> Ukiuliza watoto wanao fanya vyema shuleni utagundua watoto walio nyonyeshwa vyema na piakupata chakula vyema utotoni hua na akili sana na maendelo ya kifikra

5) HUCHOMA MAFUTANA KUONDOA KITAMBI >> Huenda umesha sikia kua kunyonyesha hupoteza kalori 20 kwa unapo nyonyesha mara moja hivyo mpaka kalori 500 hupotezwa kwa siku moja

© tibazakissuna.blogspot.com

6) HUTIBU KIZAZI  >> Homoni inayo itwa OXYTOCIN pindi inapo toka wakat wa kujifungua humsaidia kwa kiwango kikubwa mama kuweza kujua mahitaji ya mwanawe pindi anapo kua na matatizo pia OXYTOCIN iapo toka akati mama ana mnyonyesha mwanawe husaidia kizazi kujirudi na kuimarika na pia husaidia kutokuvuja damu kwa mzaz

7) HUUMBA UHUSIANA KATI YA MAMA NA MWANA >> Hali ya mama kumnyonyesha mtoto humsaidia mama kua na huruma kubwa kwa mwanawe pia kuna mahusiano makubwa ya kitabia hujengeka kati ya mama na mwana ndio maana mmoja wa wenye elimu alifikia kusema mnyanganyeni mtoto mwanamke ambae haja tulia kwa maana moja huenda mtoto akaathiriwa na tabia za mama yake au ikawa sababu ya mtoto kupata magonjwa hatari 

8) HUPUNGUZA KASI YA KUPATA KANSA YA MATITI NA KIZAZI  >> Ni faida ya kipekee kwako unae nyonyesha kwan hupunguza uhatarishi wa kupata kansa ya kizazi na ya matit na pia humkinga mwanao kwa kansa na magonjwa ambukizi

VIPI HUSAIDIKA MAMA AMBAE MAZIWA YAKE HAYATOKI AU NI MADOGO

© tibazakissuna.blogspot.com

NUNUA DAWA INAYO ITWA UWATU

TUMIA KIJIKO KIMOJA KWENYE UJI MARA TATU KWA SIKU

HUENDA UKAARISHA MAANA TABIA YA UWATU HUSAFISHA  UTE UTE (mucus) HALI AMBAYO HUIFANYA KUA DAWA NZUR KWA PUMU NA KIKOHOZI

0 maoni:

Chapisha Maoni