Jumapili, 14 Desemba 2014

MJUE JINI MAHABA NA DALILI YAKE



NI NANI JINI MAHABA (AASHIQ DJINN )


unapoongelea juu ya jini mahaba basi unaongelea jambo muhimu na gumu, kwani majini wapo aina karibia 660, na kila jamii ina kuwa na mifumo yake pindi awapo mahaba.
jini mahaba si jini maalum kusema huyu ni mahaba,
mfano sisi binaadamu hatuna kabila maalumu kwamba hawa ni watu tabia mbaya, ila tabia mbaya huwa kwa mtu mwenyewe ni kwa kabila.
pia jini mahaba si jini maalum kuwa huyu ni mahaba ila majini wote waoi wahuni miongoni mwao ambao husumbua maisha ya wanadamu.

DALILI ZA KUJUA UNA JINI MAHABA

tibazakissuna.blogspot.com
1) Kuwa na hasira zisio na sababu

2) kutokuwa hamu ya jimai

3) kupata maumivu na na michubuko katika jimai

4) kuchoka sana wakati wa jimai.

5) kumchukia mwenza wako pindi anapo kuwa karibu na wewe.
 huyu ni JINI SUBIANI.

6)  kukosa hedhi

7)  kupata hedhi kwa miezi miwili hadi mitatu

8)  kuumwa chango au ngiri mara kwa mara

9)  kushindwa kumwaga manii ufanyapo jimai

10) kuingia na kumwaga manii haraka sana
huyu ni jinni UMMU MULDAMI.

11)  kupoteza ladha ya jimai katikati ya tendo

12)  kuishiwa nguvu haraka

13)  kupatwa maumivu makali ya tumbo wakati ukifanya jimai

14) Kuto kuona ladha yeyote na mwanamke kushindwa kutoa ute na kumpa maumivu
huyu ni JINI JALWUSH
                                    tibazakissuna.blogspot.com
15)  Kuto kubeba mimba

16) Kujaa maziwa kama mjamzito
huyu ni UMMU SUBIANI

 17)  Kuota Unapaa

18)  Kuharibika Mimba kaabla ya Miezi Minne

19) Chunus zisizo SIKIA DAWA

20)  Kuchukia kutongozwa na kuto hitaji ndoa
huyu ni JINI TWAYR {qarnail}

21) Kuto tosheka na jimai
huyu ni MAYMUNA

22)  Mtoto kumuogopa mama yake

23) Kuota unafanya mapenzi

24)  Mama kuto toa maziwa akijifungua

25)  Mtoto kupatwa degedege.
huyu ni MAKATA WA MAKATANI.

dalili ni nyingi kulingana na aina ya jini anaye kusumbua.
tibazakissuna.blogspot.com
tafadhali fatilia mada ndani ya blog yangu ili ujifunze mengi
 

22 maoni:

  1. shukran sheikh ujumbe umeufikisha, na mwenyezi mungu akuzidishie elimu zaidi.

    JibuFuta
  2. Asalam alaykum. Kwa kweli mimi binafsi huwa sipati usingizi kuchelewa kulala na huota kila siku nafanya mapenzi na nikimaliza kufanya mapenzi narudia tena kutopata usingizi nakuwa silali tena pia mwili mzima huniuma pia hata nikiwa na wanawake huwaacha bila sababu huwachukia ghafla hebu nisaidie shekhe nini tatizo langu.

    JibuFuta
  3. tuwasiliane mapema ndugu yangu hilo ni tatizo

    JibuFuta
  4. asalam alaykum. kiufupi shekh mm ninatatizo kila ninapopata mpenzi uwa unagombana kabla sijafanya tendo nakuishia kuachana hivi karibuni nilikua na mpenzi wangu ambae alikua ananipenda na alikua yupo tayari tuoane, tumedumu karibia miaka miwili sasa lakini tumekuja kugombana bila kutalajia yani kosa dogo tu limetugombanisha adi hivi sasa ananichukia yani anipendi kama alivyokua akinipenda mwanzo naomba msaada shekh

    JibuFuta
    Majibu
    1. mubah hizo ni dalili za jini wakike ulie nae kikubwa tuwasiliane

      Futa
  5. AS. Alaykum shekh mimi tatizo langu mwanzo nkiwa na m.ke nkimgusa tu anasema anaumia sehem ya siri (uke) na hata nkitaka kufanyanae mapenz uume hausimami ila saiv ndo ajabu asaa nkiwa pekeangu unasimama ila nkiwa na yeye moyo unaenda mbio sana na nkilazimisha kufanya mapenz uume ukiingia tu unaregea na kutoka hatakama ntalazimisha kwa saa zima

    JibuFuta
    Majibu
    1. Maoni haya yameondolewa na mwandishi.

      Futa
  6. niwekee na namba yako ya simu

    JibuFuta
    Majibu
    1. Maoni haya yameondolewa na mwandishi.

      Futa
  7. Maoni haya yameondolewa na mwandishi.

    JibuFuta
  8. Sheikh sheikh mbona kimya

    JibuFuta
  9. Mimi Nina tatizo LA kupendwa Sana na wanawake ila hii halii Umeanza kunitokea Baada ya kuugua cjajua ni ugonjwa gani kwani sihisi Wala Sina Hamu ya kufanya mapenzi hata nguvu za kiume zimetoweka tangu. November nisaidieni

    JibuFuta
  10. Shukrani kwa elimu...tiba hujaitoa shekh

    JibuFuta
  11. Shkh a.aleykum Mimi mke wangu hajiskii kabisa kufanya mapenz mpK tunagombana na Kwa sasa ni mjamzito,
    Tunafanyaje sheikh

    JibuFuta
  12. Hbr,Mimi nikiwa ndotoni naota napata hamu ya kufanya mapenz na siku ingine naota nafanya mapenz tena naskia raha mno,lakini kiuhalisia kwenye maisha yangu sipati hisia hizo na hata nikifanya mapenz sihisi raha yoyote nashndwa kuelewa tatzo ni Nini hpo

    JibuFuta
  13. Hbr. Shkhe naomba contact yako tuwasiliane.kwa maelezo yako kweli nipo na matatizo

    JibuFuta
  14. IJUWE SIRI YA MALI NA UTAJIRI KWA NDAGU NA MAJINI PIA ASILI YAKO.

    KATIKA SAFARI YA MAFANIKIO TUNAPITIA MENGI ILI TUWEZE KUFANIKIWA LAKINI WENGI WETU KUNA MAMBO MACHACHE SANA WENGI WETU TUNAYADHARAU NA KUMBE NDIO CHANZO CHA MAFNIKIO YETU.

    N.B KWA WALE WAHITAJI WA PESA ZA NDAGU au MAJINI kwa mudamfupi nipigie DOKTA MDIRO +255 742162843

    HAYA NI MAMBO 7 YAKUZINGATIA KATIKA SAFARI YAKO YA MAFNIKIO

    i) Wazazi wako wakiwa wamekulea mpaka ukawa mkubwa wafumbua macho unawaona akikisha usiwafanye wakajuta kukuzaa asilimia kubwa wazazi wanakuwa na tabu sana ila zile tabu zao ndio zinazokufanya wewe una aminiwa na watu na unaeshimika na kujieshimu

    Kwaiyo jitahidi sana kuwa nao vizuri kuna wengi maisha yao wanaishi kwa shida chanzo ni utofauti baina ya wazazi wao

    Ukiona wazazi wako wanatabu sana usiwajibu vibaya wewe kaa nao mbali ila wape majukumu yao unacho fanya kuwaona nakurudi ulipo apo utaona mambo yako yatakuwa vizuri sana

    ii) JAMBO LA PILI
    Akikisha unatunza uzao wako yani ukijua ni mtoto ni wako basi jitahidi sana kutoa uduma ata kidogo ulicho nacho lakini udumia usiache uzao wako unateseka na njaa wewe una kula maisha aisee fahau

    Kila mtoto wako anavyo kuwa ndio mambo yako yanaaribika usipo udumia kwaiyo ukiwa waitaji kufanikiwa zaidi jali uzao wako

    iii) JAMBO LA TATU
    ukiwa umeoa au umeolewa usitoe talaka au kuomba talaka kabla mwenzio ayupo tayari kwa muda huo fahamu ukiomba talaka au akikupa talaka bila bila sababu ya msingi yeye tu ana matamanio ya kidunia basi anamuda atapoteza muelekeo wa maisha yake

    iv) UKIWA WAPATA PESA
    ukiwa wapata pesa alafu utoi sadaka basi kufikia kwenye ukuu utachelewa sana mana mana pesa badala ya kutoa kwa iyari yako utatoa kwa matatizo kwaiyo jitahidi icho icho kidogo toa sadaka kwa wenye uitaji

    v) USIMZULUMU MTU
    kama wataka kufika mbali kwenye mafanikio yako usimzulumu mtu ata kwa uchache wa kitu usifanye ivyo itakugarimu kiasi kikubwa

    vi) USIZARAH MILA
    ukiwa kwenu kuna mambo ya mila mzimu tambiko jitahidi kufatilia sana aya mambo yanarudisha nyuma sana usipo yawahi mapema

    vii)USIWE WA NAMNA
    1)ikiwa ujafanikiwa jitahidi sana usiwe mvivu kufanya kazi usiwe muhuni usiwe mwenye chuki na asira zisizo za msingi usiwe na tamaa nyoa vizuri vaa nguo za eshima na usiige maisha ya watu.

    KWA MAWSILIANO ZAIDI KUHUSU MATATIZO MBALIMBALI YA TIBA ASILI NA TIBA MBADALA, PETE MALI ZA NDAGU NA MAJINI N.K

    DOKTA MDIRO Call/whatsup +255 742162843.

    JibuFuta